Ingia / Jisajili

Mwili Na Damu Ya Yesu

Mtunzi: Justine Mgobela
> Mfahamu Zaidi Justine Mgobela
> Tazama Nyimbo nyingine za Justine Mgobela

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Justine Mgobela

Umepakuliwa mara 9 | Umetazamwa mara 14

Download Nota
Maneno ya wimbo
Ee Bwana yesu tazama mimi mtumishi wako ninaijongea meza yako,, nile mwili wako mtakatifu, ninywe damu yako takatifu, ukae rohoni mwangu bwana, nipate uzima wa milele

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa