Mtunzi: Sylvanus Mpuya
> Mfahamu Zaidi Sylvanus Mpuya
> Tazama Nyimbo nyingine za Sylvanus Mpuya
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Mika Wihuba
Umepakuliwa mara 363 | Umetazamwa mara 1,506
Download Nota Download MidiKesheni kesheni simameni Imara katika Imani, {fanyeni kiume mkawe hodari mambo yenu yote nayatendeke katika upendo x2}
1.Upendo na utawale katika Maisha yenu na upendo wenu utadumu milele.
2.Upendo huvumilia upendo haujivuni upendo wa kweli haupungui kamwe.
3.Upendo hauhusudu wala hautakabari husamehe yote haulipi mabaya.
4.Atukuzwe Mungu Baba atukuzwe Mungu Mwana naye Roho Milele na milele.