Mtunzi: Joseph Rimisho
> Mfahamu Zaidi Joseph Rimisho
> Tazama Nyimbo nyingine za Joseph Rimisho
Makundi Nyimbo: Pasaka
Umepakiwa na: JOSEPH RIMISHO
Umepakuliwa mara 1,278 | Umetazamwa mara 3,969
Download Nota Download MidiShairi
1.Sasa twimbe sote amefufuka
Mkombozi Yesu amefufuka
Kiitikio
(Mwokozi Yesu amefufuka kaburini, tushangilie mkombozi kweli yuko hai,
Amefufuka yu pamwe nasi daima).x2
Mashairi
2. Alivyosema amefufuka
Yu hai mzima amefufuka
3. Tumfurahie amefufuka
Mwokozi Yesu amefufuka
4. Malaika nao washangilia
Waimba kwa shangwe amefufuka
5. Hakika Bwana amefufuka
Ni Bwana Yesu amefufuka