Mtunzi: Benjamin J.mwakalukwa
> Mfahamu Zaidi Benjamin J.mwakalukwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Benjamin J.mwakalukwa
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Zaburi
Umepakiwa na: Benjamin JMwakalukwa
Umepakuliwa mara 757 | Umetazamwa mara 2,489
Download Nota Download MidiNA AHIMIDIWE
Na ahimidiwe bwana mwamba wangu anifundishae mikono tangu vita na vidole vyangu kupigana.
1.Ee mungu nitakubia wimbo mpya kwa kinanda cha nyuzi kumi nitamuimbia.
2.Mhisani wangu boma langu na ngome yangu mwokozi wangu na ngao yangu ninaye mkimbilia.
3.Ee Bwana mtu kitu gani hata u mjue na binadamu ni kitu gani hata umuangalie.