Ingia / Jisajili

MPIGIENI MUNGU

Mtunzi: Benjamin J.mwakalukwa
> Mfahamu Zaidi Benjamin J.mwakalukwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Benjamin J.mwakalukwa

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: Benjamin JMwakalukwa

Umepakuliwa mara 937 | Umetazamwa mara 3,048

Download Nota
Maneno ya wimbo
 MPIGIENI MUNGU 
Mpigieni mungu kelele za shangwe inchi yote imbeni utukufu Wa jina lake.. 
1.Semeni Bwana amenilikomboa amelikomboa taifa lake 
2.Ameviumba vyote vya dunia  akatukabidhi sisi wanadamu
3.Tukuzeni sifa zake mwimbieni mungu matendo yako yatisha Kama mini. 
4.Inchi yote itakausujudia italiimbia Jina lako .
5.Enyi mataifa mtukuzeni mungu na itangazeni sauti ya sifa zake. 

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa