Mtunzi: Benjamin J.mwakalukwa
> Mfahamu Zaidi Benjamin J.mwakalukwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Benjamin J.mwakalukwa
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Benjamin JMwakalukwa
Umepakuliwa mara 677 | Umetazamwa mara 2,431
Download Nota Download MidiNDIWE SITARA YANGU
ndiwe sitara yangu ndiwe sitara yangu utanihifadhi na mateso utanizungusha nyimbo za wokovu.
1.Heri aliyesamehewa dhambi name kusitiriwa nakusitiriwa makosa yake
2.Heri bwana alimuhesabia upotovu wake ambaye rohoni Hamna hila
3.Nalikujulisha dhambi zangu wala sikuficha upotovu wangu ukasamehe