Mtunzi: Benjamin J.mwakalukwa
> Mfahamu Zaidi Benjamin J.mwakalukwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Benjamin J.mwakalukwa
Makundi Nyimbo: Shukrani
Umepakiwa na: Benjamin JMwakalukwa
Umepakuliwa mara 658 | Umetazamwa mara 2,018
Download NotaASANTE EE MUNGU
asante Ee mungu wangu kwa kutulisha chakula
Asante ee mungu wangu kwa kutunywesha kunywaji
Umetulisha chakula cha mbingu umetunywesha kinywaji safi kutoka mbinguni asante twashukuru.
1.Umetuarisha kuzitenda kazi zetu za mikono yetu asante mungu twashukuru.
2.Tunajivunia kwa uhai tulio nao kwa hewa tunayopumua asante ee mungu twashukuru.
3.Hakika mungu watupenda upendo wa ajabu kwa kutulinda usiku na mchana.