Ingia / Jisajili

Mtu Atamuacha Baba Na Mama Yake

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Ndoa

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 623 | Umetazamwa mara 2,259

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Kwa sababu hiyo mtu atamwacha baba na mama yake ataambatana na mkewe nao watafanywa kuwa mwili mmoja X2

Aidan na Beatha sasa mmekuwa (mmefanywa kuwa) mwili mmoja nasi tunawaombea amani na baraka tele X2

1. Hivyo imekupasa mume umpende mkeo umpende mkeo kama mwili wako mwenyewe ampendaye mkewe hujipenda mwenyewe

2. Nawe mwanamke umpende mumeo umtii katika katika kila jambo kwa maana mume ndiye kichwa kichwa cha mke wake

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa