Ingia / Jisajili

Ni Bahati Iliyoje

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Mwaka Mpya

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 3 | Umetazamwa mara 2

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Ni bahati iliyoje kuumaliza mwaka (kwani) tumeuvuka salama kwa neema na baraka zake Mungu kwetu sisi (na sasa kwa furaha na shangwe tunauanza mwaka mpya tuazimie kutenda mema upendo amani vitawale tuyaendeleze mazuri kwa msaada wake Mwenyezi) X2


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa