Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: Alex Rwelamira
Umepakuliwa mara 893 | Umetazamwa mara 2,793
Download Nota Download Midi(Tukatoe vipaji vyetu kwa Bwana) tukampe Bwana mazao yetu (ya mashamba) ili na yeye atubariki X2
(haya twendeni) twende tukatoe (tukatoe) na shukrani zetu kwa muumba wetu (nasi) tujiwekee hazina mbinguni X2
1. Mazao ya shamba na mifugo yetu tuvipeleke mbele zake Bwana Mungu atatubariki
2. Sadaka ya kweli na iliyo safi ni kama ile aliyotoa Abeli mtumishi wako
3. Kutoa ni moyo na si utajiri Bwana anakuona moyoni mwako toa ulichonacho
4. Mtolee Mungu kadiri ya mema anayokujalia siku kwa siku ukampe Bwana