Ingia / Jisajili

Nakupokea Wewe

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Ndoa

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 198 | Umetazamwa mara 402

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Nakupokea wewe uwe mume/mke wangu nami naahidi kuwa mwaminifu kwako X2

Katika tabu na raha katika magonjwa na afya kusudi nikupende na kukuheshimu siku zote za maisha yangu X2

1. Ukubaliano wetu huu tulioonyesha mbele ya kanisa Bwana na authibitishe kwa wema wake

2. Bwana apende kutuzidishia wingi wa baraka zake aliyounganisha Mungu mwanadamu asiyatenganishe

3. Mwenzangu pokea pete hii iwe ishara ya mapendo yangu na uaminifu wangu uaminifu wangu kwako

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa