Ingia / Jisajili

Tazama Mimi Nipo

Mtunzi: John Mgandu
> Tazama Nyimbo nyingine za John Mgandu

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 4,622 | Umetazamwa mara 12,857

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Tazama, mimi nipo pamoja nanyi siku zote hata ukamilifu wa dahari, ukamilifu wa dahari x 2

  1. Kwa kuwa walipo wawili watatu wamekusanyika kwa jina langu, nami nipo papo hapo katikati yao.

Maoni - Toa Maoni

zakari cosmasi sira Jul 05, 2016
Pongeza, Kosoa.... Uwe mstaarabu

Toa Maoni yako hapa