Ingia / Jisajili

Nalimuita Bwana Akaniponya

Mtunzi: Abel T. Msigwa
> Mfahamu Zaidi Abel T. Msigwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Abel T. Msigwa

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: ABEL MSIGWA

Umepakuliwa mara 280 | Umetazamwa mara 1,516

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
KIITIKIO
(Mimi) Nalimuita Bwana, Nalimuita Bwana, Nalimuita Bwana akaniponya X2
MASHAIRI
1. Hata katika magonjwa yangu yote/ Nalimuita Bwana akaniponya.
2. Hata katika udhaifu wangu wa roho/ Nalimuita Bwana akaniponya.
3. Hata katika saa yangu ya kufa/ Nalimuita Bwana akaniponya.
4. Shetani mwovu aliponizunguka/ Nalimuita Bwana akaniponya

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa