Ingia / Jisajili

UNITIE NGUVU EE BWANA

Mtunzi: Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Mfahamu Zaidi Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Pascal Mussa Mwenyipanzi

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Pascal Mussa

Umepakuliwa mara 334 | Umetazamwa mara 1,621

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
UNITIE NGUVU EE BWANA Ref: Unitie nguvu ee Bwana, nimalize mwendo wangu salama. 1. Nilikotoka ni mbali niendako karibu kufika ,niongoze Bwana wangu nimalize mwendo wangu salama,E Bwana pigana nao, wanao pigana nami, unitie nguvu ninapoishiwa nguvu,adui zangu wakija, kupigana na mimi, njia yao iwe giza na utelezi. 2.Maisha yangu yafiche ubavuni mwako Bwana wangu, bila wewe sitaweza kumaliza mwendo wangu salama, nilipotoka ni mbali nimepanda milima, nimeruka makorongo na mishale, lakini sijafika, Yesu nitie nguvu unishike mkono.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa