Ingia / Jisajili

Wenye Vipaji Njooni

Mtunzi: Paulo Prince Kabazo
> Mfahamu Zaidi Paulo Prince Kabazo
> Tazama Nyimbo nyingine za Paulo Prince Kabazo

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Paulo prince kabazo

Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

K/ Wenye vipaji njooni wenye vipaji njooni tumsifu Mungu wetu, aliye na sauti aipaze sauti yake, mwenye ngoma aipige ngoma yake, mwenye kinanda akipige kwasifa ya Mungu.

1. Niyeye aliyeumba bahati na nchi kavu, akaiweka nuru mchana nagiza usiku, acha nimuimbie mimi acha ni mchezee, acha niimbe sifa zake kwani yeye atahili sifa

2. Mimi mwanadamu ameniumba kwamfano wake, akanipenda sana kuliko viumbe vyote,  acha......

3. Tangu utoto wangu nimesikia sifa zake, niyeye Mungu jana leo kesho hata milele, acha....


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa