Ingia / Jisajili

Utarudi Mavumbini

Mtunzi: Paulo Prince Kabazo
> Mfahamu Zaidi Paulo Prince Kabazo
> Tazama Nyimbo nyingine za Paulo Prince Kabazo

Makundi Nyimbo: Kwaresma | Mafundisho / Tafakari | Mazishi

Umepakiwa na: Paulo prince kabazo

Umepakuliwa mara 35 | Umetazamwa mara 58

Download Nota
Maneno ya wimbo
K/ Mwanadamu (mwanadamu) kumbuka wewe nimavumbi na utarudi mavumbini. 1. Hata wajiona mzuri sana kuliko wengine usisahau (utarudi) mavumbini. 2. Uwe tajiri wa kwanza naku sifiwa duniani usisahau (utarudi) mavumbini. 3. Uwe raisi ama gavana wa kunyanyasa wengine usisahau (utarudi) mavumbini 4. Uvae mavazi ya zaabu nakucheka maskini usisahau (utarudi) mavumbini.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa