Mtunzi: Bernard Mukasa
> Mfahamu Zaidi Bernard Mukasa
> Tazama Nyimbo nyingine za Bernard Mukasa
Makundi Nyimbo: Kwaresma
Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela
Umepakuliwa mara 23,349 | Umetazamwa mara 31,783
Download Nota Download MidiYuda akarudi, Chukua fedha zenu huyu ni mwema , Pilato akakiri hana kosa mtu huyu lakini kamuueni, kainuliwa mtupu na kajeruhiwa sana, Amekata roho nchi inazizimia kwa huzuni kuu.