Ingia / Jisajili

NDIWE SITARA YANGU

Mtunzi: Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Mfahamu Zaidi Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Pascal Mussa Mwenyipanzi

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Pascal Mussa

Umepakuliwa mara 128 | Umetazamwa mara 395

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 3 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 3 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 3 Mwaka C
- Katikati Dominika ya 6 Mwaka B
- Katikati Dominika ya 6 ya Pasaka Mwaka B

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Kiit: Ndiwe sitara yangu, ndiwe sitara yangu utanihifadhi na mateso, utanizungusha nyimbo, utanizungusha nyimbo za wokovu. 1a).Heri aliyesamehewa dhambi, na kusitiriwa makosa yake. 1b)Heri Bwana asiyemhesabia upotovu, ambaye rohoni mwake hamna hila. 2a) Nalikujulisha Bwana dhambi yangu, wala sikuuficha upotovu wangu. 2b) Nalisema nitayakiri maasi yangu kwa Bwana, nawe ukanisamehe upotovu wa dhambi yangu. 3.Mfurahieni Bwana: Shangilieni enyi wenye haki, pigeni vigelegele vya furaha; ninyi nyote mlio wanyofu wa moyo.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa