Ingia / Jisajili

EE BWANA MUNGU WANGU, NAFSI YANGU YAKUONEA KIU

Mtunzi: Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Mfahamu Zaidi Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Pascal Mussa Mwenyipanzi

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Pascal Mussa

Umepakuliwa mara 651 | Umetazamwa mara 1,765

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Kiit: Ee Bwana Mungu, Mungu wangu, Mungu wangu, Mungu Bwana Mungu wangu, nafsi yangu yakuonea kiu Mungu, nafsi yangu yakuonea kiu Mungu. 1.Ee Mungu wangu nitakutafuta mapema, nafsi yangu yakuonea kiu Mungu,mwili wangu wakuonea shauku ee Bwana, katika nchi kame na chovu isiyo na maji. 2. Ndivyo nilivyokutazama patakatifu nizione nguvu zako na utukufu, maana fadhili zako njema kuliko uhai, midomo yangu kweli Bwana itakusifu. 3.Ndivyo nitakavyokubariki maadamu ni hai, kwa jina lako nitainua mikono, nafsi yangu itakinai kama kushiba, kinywa changu kitakusifu kwa midomo ya raha.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa