Ingia / Jisajili

HERI KILA MTU AMCHAYE BWANA

Mtunzi: Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Mfahamu Zaidi Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Pascal Mussa Mwenyipanzi

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Pascal Mussa

Umepakuliwa mara 204 | Umetazamwa mara 945

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Kiitikio: Heri kila mtu, heri kila mtu amchaye Bwana, aendaye katika njia zake, taabu ya mikono yako hakika utaila, utakuwa heri na kwako kwema. 1. Mkeo atakuwa kama mzabibu uzaao, vyumbani mwa nyumba mwa nyumba yako, wanao kama miche ya mizeituni, wakiizunguka meza yako. 2.Tazama atabarikiwa yule amchaye Bwana, Bwana atakubariki toka sayuni, uone, uone uheri wa Yerusalemu, siku zote za maisha yako.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa