Mtunzi: Lucas Mlingi
> Mfahamu Zaidi Lucas Mlingi
> Tazama Nyimbo nyingine za Lucas Mlingi
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: lucas mlingi
Umepakuliwa mara 1,213 | Umetazamwa mara 4,367
Download Nota Download MidiKiit; Ndiwe sitara yangu utanihifadhi na mateso utanizungusha nyimbo za wokovu x2
1. Heri aliyesamehewa dhambi na kusitiriwa makosa yake, asiyemhesabia upotovu ambaye rohoni mwake hamna hila
2.Nalikujulisha dhambi yangu Bwana wala sikuuficha upotovu wangu,Nitayakiri maasi yangu Bwana ukanisamehe upotovu wa dhambi
3. Mfurahieni Bwana furahini shangilieni enyi wenye ha--ki, pigeni vigelegele vya furaha ninyi nyote mlio wanyofu wa Moyo.