Ingia / Jisajili

Neno Alifanyika Mwili

Mtunzi: Emmanuel Daniel Mutura
> Tazama Nyimbo nyingine za Emmanuel Daniel Mutura

Makundi Nyimbo: Noeli

Umepakiwa na: Emmanuel Daniel Mutura

Umepakuliwa mara 292 | Umetazamwa mara 1,065

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Antifona / Komunio Kuzaliwa kwa Bwana (Misa ya Mchana)
- Antifona / Komunio Kuzaliwa kwa Bwana (Misa ya Usiku)

Download Nota
Maneno ya wimbo

NENO ALIFANYIKA MWILI [E.D.MUTURA]

Neno alifanyika mwili akakaa kwetu,Neno alifanyika mwili (nasi) (nasi tukauona, nasi tukauona, nasi tukauona utukufu wake) x2

  1. Tukauona utukufu, kama wa mwana wa mwana pekee, atokaye kwa Baba, amejaa neema na kweli.
  2. Kwa kuwa katika utimilifu utimilifu wake, sisi sote tulipokea, tulipokea neema juu ya neema.
  3. Bali wote waliompokea, aliwapa uwezo aliwapa uwezo, wa kufanyika watoto wa Mungu, ndio wale waliaminio Jina lake.
  4. Hakuna mtu aliyemwona Mungu wakati wowote, Mungu Mwana pekee, aliye katika kifua cha Baba, Huyu ndiye aliyemfunua.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa