Mtunzi: Emmanuel Daniel Mutura
> Tazama Nyimbo nyingine za Emmanuel Daniel Mutura
Makundi Nyimbo: Ndoa
Umepakiwa na: Emmanuel Daniel Mutura
Umepakuliwa mara 567 | Umetazamwa mara 1,785
Download NotaEE MUNGU POKEA WATOTO WAKO - E.D.MUTURA
Ee Mungu (Baba) pokea kwa wema wako watotot wako hawa (waliofunga ndoa leo) twakusihi Baba uwamiminie wingi wa baraka zako x2
1. Magumu mengi sana mmeyapitia, kwa mkono wa Mungu leo hila za shetani zimevunjwa.
2. Upendo wa Mungu kweli hauna mipaka, tunawaombea mdumishe upendo maishani mwenu.
3. Sala na kazi viwe ndiyo wimbo wenu, katika maisha katika maisha yenu siku zote.
4. Mvumiliane na kusameheana daima, katika maisha katika maisha yenu siku zote.
5. Mungu ni mwema mwema kila wakati, tunawaombea mdumishe wema maishani mwenu.