Mtunzi: Emmanuel Daniel Mutura
> Tazama Nyimbo nyingine za Emmanuel Daniel Mutura
Makundi Nyimbo: Matawi
Umepakiwa na: Emmanuel Daniel Mutura
Umepakuliwa mara 1,307 | Umetazamwa mara 4,414
Download NotaBABA YANGU IKIWA HAIWEZEKANI (E.D.MUTURA)
Baba yangu ikiwa haiwezekani kikombe hiki kiniepuke (nisipokunywa) mapenzi yako yatimizwe x2
1. Wanafunzi wake Yesu walikuwa wamelala, Yesu akawaambia kesheni mkiomba, msije mkaingia majaribuani; akaenda kuomba akisema.
2. Wanafunzi wake Yesu walikuwa wamelala, Yesu akawaambia roho yangu i raadhi, lakini mwili wangu ni dhaifu; akaenda kuomba akisema.
3. Kisha Yesu kawaambia wale wanafunzi wake, laleni pumzikeni saa imekaribia, na Mwana wa Adamu atatiwa mikononi mwa wenye dhambi
asalitiwe.