Mtunzi: Emmanuel Daniel Mutura
> Tazama Nyimbo nyingine za Emmanuel Daniel Mutura
Makundi Nyimbo: Kwaresma | Mwaka wa Huruma ya Mungu
Umepakiwa na: Emmanuel Daniel Mutura
Umepakuliwa mara 171 | Umetazamwa mara 1,277
Download NotaTwende kwa Bwana tukaombe huruma yake, huruma yake Mungu wetu ni ya milele, twende kwake atuhurumie x2
1. Ni mwenye upendo kwetu, twende kwake. Ni mwenye huruma nyingi, twende kwake.
2. Si mwepesi wa haisra, twende kwake. Ni mwingi wa rehema, twende kwake.
3. Alifia dhambi zetu, twende kwake. Ukombozi tukapata, twende kwake.
4. Tujifunze toka kwake, twende kwake. watu wa huruma, twende kwake.