Mtunzi: Valentine Ndege
> Mfahamu Zaidi Valentine Ndege
> Tazama Nyimbo nyingine za Valentine Ndege
Makundi Nyimbo: Noeli
Umepakiwa na: Mika Wihuba
Umepakuliwa mara 1,197 | Umetazamwa mara 2,957
Download Nota Download MidiNi raha ni raha ni raha ni raha pande zote Mwana wa Mungu amezaliwa Duniani, Nderemo nderemo vifijo furaha pande zote shangwe chereko zimetawala duniani. (Tuimbe nyimbo za furaha tucheze kwa maringo turukeruke tushangilie mwokozi kazaliwa x2)
1.Leo furaha kubwa duniani, mwokozi amezaliwa kutukomboa.
2.Malaika wa Mungu katokea, akawapasha wachungaji habari njema.
3.Mama jusi kutoka mashariki, walifuata nyota hadi kule aliko zaliwa mtoto.
4.Njooni watu wote tucheze tufurahi leo tucheze kinanda ngoma tarumbeta vinubi na kayamba tufurahi Mwokozi kazaliwa duniani.