Mtunzi: Valentine Ndege
> Mfahamu Zaidi Valentine Ndege
> Tazama Nyimbo nyingine za Valentine Ndege
Makundi Nyimbo: Pasaka
Umepakiwa na: Mika Wihuba
Umepakuliwa mara 765 | Umetazamwa mara 3,210
Download Nota Download Midi(Aleluya Aleluya Bwana amefufuka leo) Aleluya aleluya aleluya Bwana amefufuka kweli x2. Kaburi liwazi Bwana hayumo, mauti ameyashinda amefufuka. (Watu wote furahi, ngoma zeze zipigwe, Nyimbo nzuri tuimbe, na kinanda tucheze, tuimbe zaburi tumsifu Mwokozi x2).(Aleluya Aleluya Bwana amefufuka leo) Aleluya aleluya aleluya Bwana amefufuka kweli x2. Kaburi liwazi Bwana hayumo, mauti ameyashinda amefufuka. (Watu wote furahi, ngoma zeze zipigwe, Nyimbo nzuri tuimbe, na kinanda tucheze, tuimbe zaburi tumsifu Mwokozi x2