Ingia / Jisajili

Ninamuimbia Mungu

Mtunzi: Valentine Ndege
> Mfahamu Zaidi Valentine Ndege
> Tazama Nyimbo nyingine za Valentine Ndege

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Mika Wihuba

Umepakuliwa mara 337 | Umetazamwa mara 1,443

Download Nota
Maneno ya wimbo

                                                                                        Ninamuimbia Mungu

  • Valentine Ndege
  • 23/01/2016
  • Kamanga

Kiitikio: Nimeamua mimi kumuimbia Muumba wangu, nimeamua mwenyewe kumumbia kwa sauti yangu, nipaze nipaze sauti, nimwimbie nyimbo nzuri, nicheze ngoma kinanda, nimwimbie Mungu wangu; (nimwimbie Mungu wangu, nimwimbie nyimbo nzuri, nimwimbie zaburi, ningali hai x2)

Beti

  • 1.Nimeamua mimi, kumwimbia Mungu wangu, hata waseme, hata wanune, nitamwimbia Mungu wangu.
  • 2.Nimeamua mimi, kumwimbia Mungu wangu, hata wacheke, na waniseme, nitamwimbia Mungu wangu.
  • 3.Nimeamua mimi, kumwimbia Mungu wangu, wanidharau, na wanikwaze, tuzo yangu iko mbinguni.
  • 4.Nitakitumia vyema kipaji changu, nimepewa bure, nitatoa bure, nitamuimbia Mungu ningali hai.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa