Maneno ya wimbo
                NI WEWE TU BWANA UNIJUAYE MIMI
1.	Nilianzavyemanamatumainimenginilijawasananayohamuyakushinda,
furahaisiyonakifanikanijaailasasa Baba vyotevimeniondoka
Ni wewetu Bwana unijuayemimi, Mwanzowangutenanamwishowaujua,
sasanakulilia Bwana ujeuniokoe safari hiiyanguimekuwa safari ngumu
2.	Udhaifuwanguna' umepitakiasimoyonaoumekuwamawemlimani
ninajuawazikwambawewendiweMunguilaniishivyosiokamanikirivyo
3.	Kilapandenazodhambizimenizungukahatahivyo we’ hauchokikunisamehe
uliteswasanaili mi' nikomboleweilasasanimerudi pale nilokuwa
4.	Nimekuwamwenyekiuyahukouliko,natamanisanakujiunganaweMungu
duniauliyoniumbiaya'ngamizailahuunimpangowakokwangumimi
5.	WewendiweMunguwangunimtukuzaye 'meniumbakwasura pia mfanowako
maishanimwanguninakupausukaniunielekezeulikoniandalia
            
                                    
                Nyimbo nyingine za mtunzi huyu