Ingia / Jisajili

Malaika Akawaambia Msiogope

Mtunzi: Erick Mwaniki
> Tazama Nyimbo nyingine za Erick Mwaniki

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Noeli | Shukrani | Zaburi

Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata

Umepakuliwa mara 55 | Umetazamwa mara 141

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Malaika Akawaambia Msiogope Malaika akawaambia msiogope kwa kuwa mimi ninawaletea habari njema ya furaha kuu itakayokuwa kwa watu wote x2 maana leo katika mji wa Daudi, amezaliwa amezaliwa kwa ajili yetu, mwokozi ndiye Kristo Bwana x2 1. Na hii ndiyo ishara kwenu, mtamkuta mtoto mchanga amevikwa nguo za kitoto alala katika hori ya kulia ng'ombe 2. Wakamsifu Mungu na kusema, atukuzwe Mungu juu mbingu na duniani iwe amani kwa watu, kwa watu aliowaridhia

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa