Maneno ya wimbo
NITASIMULIA SIFA ZAKO
Nitasimuliasifazako Bwana kwaviumbewotewadunia *2
nitatangazawemawakoukarimuwakowewenahurumayako Bwana watuwotewaijue *2
1. Nakumbukailesiku, nilokuita we' nikiomba, naweukanisikilizamimiukanibarikikwaneemazako,
hukawiikunijibu, kwaniupopamojanamimi, ilinikuitapousikieyaliyomoyoniunikumbatie.
2. Vipajikanijalia, ilinivitumievizuri, kutumikiawanawakowotekusudi we' usifiwekotekote,
Tenaukanijalia, ulimwengumzimawawatu, ndiponisijenikakosawatuwakuhudumiakwavipajihivi.
3. Njianinyembambasana, iliutukufuwakowewe, uonekanemiongonimwetuunavyosafishamioyoyetusisi,
katikamagumuyote, yakutafutautakatifu, watukumbushakuwawewendiweunayewezesha mambo hayayote.
4. Hurumayoyamileleunaishushaulimwenguni, ndipoitukomboesisisotemaanahatuwezihayokivyetu,
udhaifuwetusisiunatutenganawewe Bwana, ilahurumaitokayokwakoinatusaidiasiwakosefu
Nyimbo nyingine za mtunzi huyu