Ingia / Jisajili

Ni Yesu Naamini

Mtunzi: Peter Makolo
> Mfahamu Zaidi Peter Makolo
> Tazama Nyimbo nyingine za Peter Makolo

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Peter Makolo

Umepakuliwa mara 429 | Umetazamwa mara 1,836

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Huyu ni Yesu naamini chakula safi toka mbinguni, fumbo la upendo kwa wapendao. x 2
Huyu ni Yesu, Huyu ni Yesu naamini kweli ni Yesu kweli aliye uzima wa roho zetu.

  1. Ee Yesu wangu rafiki mwema karibu rohoni mwangu daima.
     
  2. Unishibishe kwa mwili wako nipate neema toka mbinguni.
     
  3. Nakuamini u Mungu kweli wewe ni uzima wa roho yangu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa