Ingia / Jisajili

Niamkapo Nitashibishwa

Mtunzi: Fidelis L Komba ( MHAUKA)
> Mfahamu Zaidi Fidelis L Komba ( MHAUKA)
> Tazama Nyimbo nyingine za Fidelis L Komba ( MHAUKA)

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Fadhili Komba

Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 32 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Niamkapo nitashibishwa kwa Sura yako x 2

ZABURI 17: 1, 5-6, 8, 15.   Kiitikio 15

1. Ee Bwana, usikie haki, usikie kilio cha ngu / Utege sikio lako usikie maombi yangu yatokayo katika midomo ya hila.

2. Nyayo zangu zimeshikamana na njia zako, Hatua zangu hazikuo ndo shwa, /

    Ee Mungu nimekuita kwa maana utaitika utege sikio lako usikie neno la ngu.

3. Unifiche chini ya uvuli wa mbawa za ko, /

    Bali mimi nikutazame uso wako katika haki niamkapo nishibishwe kwa sura ya ko.



Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa