Ingia / Jisajili

Nikunjue Moyo Wangu

Mtunzi: Bernard Mukasa
> Mfahamu Zaidi Bernard Mukasa
> Tazama Nyimbo nyingine za Bernard Mukasa

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Vusile Silonda

Umepakuliwa mara 10,818 | Umetazamwa mara 19,426

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kiitikio:

Nikunjue moyo wangu, Mungu muumba wangu. Nitoe maisha yangu niweke ya wenzangu.
Katika mambo yote, kupenda na kutumikia, iwe ndiyo sala yangu shibe na pumzi yangu.

Mashairi:

  1. Niyaone ya wenzangu kuwa bora kuliko yangu, niokoe yangu.
     
  2. Nguvu na akili zangu, ziwe kwa ajili yao, nifuate njia bora.
     
  3. Niwape nafasi njema wakutukuze mwenyezi nikusifu daima.

Maoni - Toa Maoni

Organist James Mar 21, 2022
Naomba official video ya huu wimbo pia

Erasmus Richard Nov 26, 2018
Naomba video ya huu wimbo niweze Ku u download. Naupenda sana

Toa Maoni yako hapa