Mtunzi: Essau Lupembe
> Mfahamu Zaidi Essau Lupembe
> Tazama Nyimbo nyingine za Essau Lupembe
Makundi Nyimbo: Ndoa
Umepakiwa na: ESSAU LUPEMBE
Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0
Download Nota Download MidiNIMEKUCHAGUA WEWE
Nimekuchagua wewe uwe mke wangu wa maisha ...x2
Nitakupenda Mimi nitakupenda, katika raha na shida pia, nitakupenda ewe mke wangu , nitakutunza ewe mke wangu wa maisha ...x2
1) Wewe ndiwe chaguo langu la maisha, wewe ndiwe tulizo la moyo, nionakupenda wewe ndiwe nyama ya nyama
yangu.
2) Wewe ndiwe chaguo langu la maisha, wewe ndiwe tulizo la moyo, nionakupenda wewe ndiwe mfupa wa mifupa
yangu.
3) Njoo kwangu nikudekeze ewe mke wangu, nitakufanya malkia wa nyumba yangu, malkia na mama wa watoto
wangu.
4) Njoo kwangu njoo mke wangu, kipenzi changu, mimi ndiye mume wako, tulia kwangu, deka mke wangu tulia
kwangu.