Ingia / Jisajili

Simama ukatoe Sadaka

Mtunzi: Valentine Ndege
> Mfahamu Zaidi Valentine Ndege
> Tazama Nyimbo nyingine za Valentine Ndege

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Valentine Ndege

Umepakuliwa mara 521 | Umetazamwa mara 1,566

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
(Sasa ndiyo wakati wakupeleka) Sadaka uliyoiandaa kwa Mungu wako x2 Fikiria ni kitu gani chema ndugu umtolee leta sadaka leta mifugo na mazao ya mashambani simama ukatoe sadaka kwa Mungu wako x2 1. A. Unawaza nini wewe ndugu yangu B. Hima hima ndugu inuka kitini, hima twende tutoe sadaka zetu kwa Muumba wetu 2. A. Tafuteni kwanza ufalme wa Mungu B. Na hayo mengine mtazidishiwa, hima twende tutoe sadaka zetu kwa Muumba wetu. 3. A. Ajali magonjwa amekuepusha B. Baraka nyingi kakumiminia, hima twende tutoe sadaka zetu kwa Muumba wetu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa