Ingia / Jisajili

Wimbo Wa Kuabudu Ekaristi

Mtunzi: Valentine Ndege
> Mfahamu Zaidi Valentine Ndege
> Tazama Nyimbo nyingine za Valentine Ndege

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Valentine Ndege

Umepakuliwa mara 1,663 | Umetazamwa mara 5,769

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Yesu wangu nakuabudu katika Hostia Takatifu, mimi Bwana nakuabudu wewe ndiwe Mungu wangu na Mwokozi wangu x2 1. Yesu wangu nakuabudu upo hapo Altareni 2. Yesu wangu ninakupenda, roho yangu yakutamani 3. Niondolee dhambi zangu, nioshe nitakasike 4. Mwili wako pia damuyo, chakula chetu cha uwingu

Maoni - Toa Maoni

ERICK KIPKOECH Apr 12, 2022
Hello..,thanks for good word., am requesting for nota Nakuabudu Yesu Katika hostia please

Toa Maoni yako hapa