Mtunzi: Hilali John Sabuhoro
> Mfahamu Zaidi Hilali John Sabuhoro
> Tazama Nyimbo nyingine za Hilali John Sabuhoro
Makundi Nyimbo: Mwanzo | Zaburi | Kwaresma
Umepakiwa na: Halisi Ngalama
Umepakuliwa mara 1,237 | Umetazamwa mara 3,790
Download Nota Download MidiNISHIBISWE KWA SURA YAK0
Mimi nikutazame uso wako katika haki X2 Niamkapo mimi niamkapo Mimi niamkapo nishibishwe kwa sura yakoX2
1;Wasinione wasio haki wanaonionea adui wa roho yangu wanaonizunguka.
2;Ee Mungu nimekuita kwa maana utaitika utege sikio lako ulisikie neno langu.