Mtunzi: Patrick Wambua
> Mfahamu Zaidi Patrick Wambua
> Tazama Nyimbo nyingine za Patrick Wambua
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: patrick wambua
Umepakuliwa mara 647 | Umetazamwa mara 2,162
Download Nota Download MidiPOKEA BABA
Pokea Baba, sadaka tunayokutolea X2 Sisi wanao, tunaileta pokea Baba na uzibariki X2
Ten/Bass:
1. Mkate na divai, tunaleta kwako,vigeuze kuwa mwili na damu ya mwanao, Baba twakusihi, leo uzipokee, Baba twakusihi, leo utubariki.
2.Fedha za mifukoni, tunakutolea, ndiyo jasho la mikono yetu ya wiki nzima, Baba twakusihi, leo uzipokee, Baba twakusihi, leo utubariki.
3. Vyote tulivyo navyo, vinatoka kwako, na sisi hatuna budi tuvirudishe kwako, Baba twakusihi, leo uvipokee, Baba twakusihi, leo utubariki.