Mtunzi: Patrick Wambua
> Mfahamu Zaidi Patrick Wambua
> Tazama Nyimbo nyingine za Patrick Wambua
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: patrick wambua
Umepakuliwa mara 478 | Umetazamwa mara 1,740
Download Nota Download MidiVitu Vyote
Vitu vyote vinatoka kwake Bwana, hatuna budi tuvirudishe kwake X2
1.a) Sadaka yako leo twende tupeleke-hatuna budi tuvirudishe kwake.
b) Mazao ya mashamba twende tupeleke-hatuna budi tuvirudishe kwake.
c) Ulicho nacho ndugu twende tupeleke-hatuna budi tuvirudishe kwake.
d) Hata kiwe kidogo twende tupeleke- hatuna budi tuvirudishe kwake.
2.a) Mkate na divai twende tupeleke-hatuna budi tuvirudishe kwake.
b) Na sala zako wewe twende tupeleke-hatuna budi tuvirudishe kwake.
c) Fedha za mifukoni twende tupeleke-hatuna budi tuvirudishe kwake.
d) Ni jasho la mikono twende tupeleke-hatuna budi tuvirudishe kwake.
3.a) Maisha yako wewe twende tupeleke-hatuna budi tuvirudishe kwake.
b) Na mali yako wewe twende tupeleke-hatuna budi tuvirudishe kwake.
c) Ukarimu wako twende tupeleke-hatuna budi tuvirudishe kwake.
d) Shukrani yako wewe twende tupeleke-hatuna budi tuvirudishe kwake.