Mtunzi: Patrick Wambua
> Mfahamu Zaidi Patrick Wambua
> Tazama Nyimbo nyingine za Patrick Wambua
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: patrick wambua
Umepakuliwa mara 432 | Umetazamwa mara 1,235
Download Nota Download MidiNISIPOISOMA NENO
Solo: 1. Mimi nisipoisoma neno, ni Nani atakayeisoma?
All: Mimi nisipoisoma neno, ni Nani atakayeisoma x2
Tenor: Neno lake Bwana,
All: Neno lake Bwana,
Tenor/Bass: Sote tuisome
All: Neno lake Bwana x2
2. Mimi nisipoelewa neno, ni Nani atakayeelewa?
3. Mimi nisipotangaza neno, ni Nani atakayetangaza?
4. Sisi tusipoisoma neno, ni Nani atakayeisoma?
5. Sisi tusipoelewa neno, ni Nani atakayeelewa?
6. Sisi tusipotangaza neno, ni Nani atakayetangaza?