Ingia / Jisajili

NITAIMBA WIMBO

Mtunzi: A. J. Msangule
> Tazama Nyimbo nyingine za A. J. Msangule

Makundi Nyimbo: Pasaka

Umepakiwa na: MICHAEL CHAINA

Umepakuliwa mara 533 | Umetazamwa mara 1,767

Download Nota
Maneno ya wimbo
Nitaimba wimbo mmoja tu ndio kumsifu Mungu wetu Yeye aliyemtoa mwana wake bwana Yesu Kristu, Afe kifo cha aibu kwa aijili ya wokovu wetu,,Bwana Yesu kafufuka nasi leo twamshangiliaa anhaa twamwimbia aleluya ameshinda mauti na dhambi

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa