Ingia / Jisajili

Nitakuimbia Siku Zote

Mtunzi: Erick Mwaniki
> Tazama Nyimbo nyingine za Erick Mwaniki

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Shukrani

Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata

Umepakuliwa mara 70 | Umetazamwa mara 412

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
NITAKUIMBIA SIKU ZOTE Ee Bwana Mungu 'liyeniumbakanipahikikipajinitakuimbiasikuzotekwasautihii 'liyonipa NinakushukuruMungu Baba tenaninasema 'santesanazidikunijalimimiwakowewendiweMunguMwokoziwangu*2 1. Umetupatalantatofautitukutumikie,wenginewanachezanawenginewanakuimbia, hayayoteyanatokakwako, wewendiwechanzo cha 'yoyotenautujalienguvuzakotuzidikukutumikia *2 2. Mapatoyetunitofautihayafananikunawalalahainawengineniwalalahoi SisisotefamiliamojatunasalikwenyenyumbamojaMunguwetuniMungummojayeyeanabarikiwote*2 3. NdunguyanguujiulizeweweumepewaniniunatumiajehiotalantatokakwakeMungu jifikirieeenduguyanguMungundiyeatupayeyotetunapaswakumtumikiakamawanawenyeutii*2

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa