Ingia / Jisajili

Nitaenenda Mbele Za Bwana Katika Nchi Za Walio Hai

Mtunzi: Erick Mwaniki
> Tazama Nyimbo nyingine za Erick Mwaniki

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Shukrani | Zaburi

Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata

Umepakuliwa mara 410 | Umetazamwa mara 989

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
NITAENENDA MBELE ZA BWANA KATIKA NCHI ZA WALIOHAKI Nitaenenda mbele, mbele zake Bwana (nitaenenda)*2 (Katika nchi za walio haki) *2 1. Naliamini, kwa maana nitasema, nitasema mimi naliteswa sana Inathamani machoni pa Bwana mauti ya wacha wacha Mungu wake 2. Ee Bwana hakika mimi ni mtumishi wako, mtumishi wako, mwana na mjakazi wako Umejifungua, vifungo vyako, nitakutolea dhabihu ya shukrani Nakulitangaza jina la Bwana nakulitangaza jina la Bwana 3. Nitaziondoa, nadhiri zangu kwa Bwana, naam mbele za watu, watu wake wote Katika nyua, za nyumba ya Bwana ndani ndani yako ee Yerusalemu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa