Ingia / Jisajili

Nitakushukuru kwa Moyo wangu

Mtunzi: Valentine Ndege
> Mfahamu Zaidi Valentine Ndege
> Tazama Nyimbo nyingine za Valentine Ndege

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Mika Wihuba

Umepakuliwa mara 83 | Umetazamwa mara 423

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 10 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 10 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 10 Mwaka C
- Katikati Dominika ya 3 Mwaka A
- Katikati Dominika ya 5 Mwaka C
- Katikati Dominika ya 17 Mwaka C
- Katikati Dominika ya 21 Mwaka A
- Katikati Dominika ya 24 Mwaka C

Download Nota
Maneno ya wimbo

Nitakushukuru kwa Moyo wangu wote, mbele ya miungu nitakuimbia zaburi x2 Nitasujudu nikilikabili hekalu lako takatifu nitalishukuru jina lako.x2

  • 1.Nitalishukuru jina lako, kwa ajili ya fadhili zako na uaminifu wako kwa maana umeikuza ahadi yako kuliko jina lako lote.
  • 2.Ee Bwana wafalme wote wa dunia watakushukuru watakapo yasikia maneno ya kinywa chako, naam wataziimba njia za Bwana, kwa maana utukufu wa Bwana ni mkuu.
  • 3.Utanyosha mkono juu ya adui ya adui zangu, na mkono wako wa kuume utaniokoa Bwana anitimilizia mambo yangu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa