Ingia / Jisajili

Sakramenti Kubwa Hiyo (Tantum Ergo)

Mtunzi: Valentine Ndege
> Mfahamu Zaidi Valentine Ndege
> Tazama Nyimbo nyingine za Valentine Ndege

Makundi Nyimbo: Juma Kuu | Moyo Mtakatifu wa Yesu

Umepakiwa na: Valentine Ndege

Umepakuliwa mara 1,397 | Umetazamwa mara 3,185

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Sakramenti kubwa hi-yo twaheshimu kifudi- na sheria ya zamani ikomeshwe na hiyo yafichikayo machoni imani huyaona, Mungu Baba Mungu Mwana asifiwe kwa shangwe kwa heshima atukuzwe pia aabudiwe Mungu roho Mtakatifu apate naye sifa, Amina

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa