Ingia / Jisajili

Njoni Kwangu

Mtunzi: John Mgandu
> Tazama Nyimbo nyingine za John Mgandu

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 1,932 | Umetazamwa mara 5,991

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Njoni kwangu ninyi nyote msumbukao na kuelemewa na kuelemewa na mizigo nami nitawapumzisha.

  1. Jitieni nira yangu, mjifunze kwangu, kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo.
     
  2. Nanyi mtapata raha nafsini mwenu kwa maana nira yangu nilaini na mzigo wangu ni mwepesi.

Maoni - Toa Maoni

LEO W. KUNDANDUMI Jun 29, 2016
Hakika ni utunzi uliotulia na unaobariki. Nimebarikiwa sana kwa utunzi huu.

Toa Maoni yako hapa