Ingia / Jisajili

Msifuni Bwana II

Mtunzi: Nivard S Mwageni
> Mfahamu Zaidi Nivard S Mwageni
> Tazama Nyimbo nyingine za Nivard S Mwageni

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Nivard Silvester

Umepakuliwa mara 367 | Umetazamwa mara 1,281

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
(Msifuni Bwana, Msifuni Bwana x2 huwaponya waliopondeka moyo ) x2 1. Aleluya msifuni Bwana, maana ni vema kumwimbia Mungu wetu, maana kwapendeza kusifu ni kuzuri. 2. Bwana ndiye aijengaye Yerusalemu, huwakusanya waliotawanyika waIsraeli, huwaponya waliopondeka moyo na kuziganga jeraha zao, huihesabu idadi za nyota, huzipa zote majina 3. Bwana wetu ni mkuu na mwingi wa nguvu, akili zake hazina mpaka, Bwana huwategemeza wenye upole, huwaangusha chini wenye jeuri.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa