Ingia / Jisajili

Tazama Bikira

Mtunzi: John Mgandu
> Tazama Nyimbo nyingine za John Mgandu

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Majilio

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 940 | Umetazamwa mara 1,259

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Antifona / Komunio Dominika ya 4 ya Majilio Mwaka A
- Antifona / Komunio Dominika ya 4 ya Majilio Mwaka B
- Antifona / Komunio Dominika ya 4 ya Majilio Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Tazama tazama bikira atachukua mimba (naye atazaa mtoto mtoto mwanaume naye atamwita jina jina lake Immanueli) X2

1. Tengenezeni njia njia ya Bwana yanyoosheni mapito mapito ya Bwana

2. Hakika wokovu wake u karibu na wamchao utukufu ukae katika nchi yetu

3. Kila bonde litajazwa milima itashushwa palipopotoka patakuwa pamenyoshwa

4. Na wote wenye mwili wote wenye mwili watauona wokovu wokovu wa Mungu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa