Mtunzi: John Mgandu
> Tazama Nyimbo nyingine za John Mgandu
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela
Umepakuliwa mara 13,078 | Umetazamwa mara 20,984
Download Nota Download MidiTwende twende mezani kwake Bwana kwa karamu yake Bwana anatualika kwa karamu Bwana anatualika kwa chakula chenye uzima x2
Yeye Bwana alisema aulaye mwili wangu aulaye mwili wangu na kuinywa damu yangu hukaa ndani yangu NAMI hukaa ndani yake x2
1. Mimi ndio chakula chenye uzima kilichoshuka kutoka mbinguni mtu akila chakula hiki ataishi milele asema Bwana
2. Aulaye mwili wangu na kuinywa damu yangu anao uzima uzima wa milele NAMI nitamfufua siku ya mwisho